Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mwenye nayo anicheki PM nipo Dar. Airport
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari wana jamvi nauza samsung galaxy s5 bei chee kabisa tsh 600,000/= mzigo upo ktk halinzuri sana 7bu umetumika miezi minne tu!. pia naweza fanya exchanges na mwenye smartphone yoyote ambayo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
LIle zoezi la kukopesha viwanja chanika linaendelea Viwanja vinapatikana chanika mwisho eneo linaitwa Lukooni pamoja na zingiziwa, ukubwa wa VIWANJA ni 20&20 Ukitaka kulipia cash ni sh milion...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Multifuction portable projector unaweza tumia kama power bank pia, unaweza unganisha toka ktk vyanzo mbali mbali, tv, laptop, phones etc 1. Input signal ni HDMI/HML 2. 45000mAh backup battery for...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Asus - core i5, 8GB RAM, 500GB HDD, 7200 RPM, PRICE: 550000 tsh Contact: 0786987248 (whatsapp for pics) NOTE: In excellent condition. Thanks
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natafuta flip cover na screen protector ya simu tajwa
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Jamani, Namtafuta Mr Magesa Mwita; alikuwa rais wa Chuo Kikuu Dar 2006/2007. Mwenye contact zake anisaidie, please. It is a very urgent political matter.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kiwanja kipo kigamboni mjimwema-kibugumo. · umbali toka ferry ni km 8.5 · umbali toka main road (barabara ya rami) ni meter 250. · ukubwa wa kiwanjani 24m*23m ·...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba msaada anayefahamu wapi naweza kupata front cover screen ya Samsung Galaxy Note 2 N7100 rangi yoyote.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tupo mwanza, mawasiliano # 0714105969.... Baadhi yakazi zetu na mifano yakazi tunaweza fanya.. karibuni sana, bei zetu inategemea naaina yambao itakayotumika... Follow us instagram lee_homedecor
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Nataka kila mtu ajue namba yangu, 0786 153 671, twitter.com/andrew_nyerere
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Simu iwe: Smartphone Adroid os Isiwe na tatizo lolote. Nipo Dsm Dokezo: thamani ya simu yako iwe inaendana na budget yangu.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wakuu. Nauza printa zangu 2 jumla kwa bei tajwa hapo. Ni hp deskjet 1000 na hp pro mfp 125 nw. Zipo katika hali nzuri kabisa na wino. Hii ya hp pro ni 3 in 1. yaani unaprint black &...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye kati ya hizo simu ambayo iko katika hali nzuri kwa reasonable price anicheck
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nnauza simu ya samsung galaxy s4 laki 480 mpyaaa haijatumika hata mara moja nimetumiwa wakati nishanunua simu nyingne sasa kuwa na simu zote mbele.
0 Reactions
1 Replies
832 Views
iwe inatumia flash isiwe na matatizo yeyote iwe slim(zile ndogo) iwe haitumii adaptor(itumie umeme moja kwa moa) no 0658327429 dsm au ni PM
0 Reactions
3 Replies
969 Views
Jokofu bado lipo katika hali nzuri sana,limetumika kwa miezi 8 kwa matumizi ya nyumbani. Bei laki sita. Lipo Magomeni Dar es salaam
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Nauza simu tajwa hapo juu haina tatizo lolote la kiufundi ni mali yangu nauza coz nina simu ingine,ni brand ya USA tmobile,,n used na ipo KatikaHali nzuri,0654835352
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Habarini ndugu? Ninashida na Computer (Desktop machine) aina ya Dell, iwe SFF na sifa zifuatazo:- C2D/C2Q processor Speed 3.00 Ghz +++ 2GB RAM +++ 160GB HDD +++ DVD ROM Ijumuishe...
0 Reactions
1 Replies
788 Views
Back
Top Bottom