Natafuta Huawei Y530

Natafuta Huawei Y530

mtu akifika arusha stand atakukuta .
 
Hyo bei utashusha ?? Maana kuna nimepata kwa laki na nusu Moshi
 
Nenda kwenye duka yanayo uza simu used hapo stand kubwa katikati ndani ya lile jengo au maeneo au stand ndogo pale hakikisha wanakupa risiti na waranty isiyo pungua mwezi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom