Kampuni ya Connectmoja Technologies ya Tanzania Inatoa Ofa Maalumu kwa Wamiliki wa Shule, Vyuo na Taasisi za Elimu kuweka Mfumo wa Usimamiaji wa Uendeshaji wa Taasisi hizo yaani (School Management...
Nauza samsung s3, imetumika mwez 1, ni nyeupe na haina tatzo lolote, ram 16 gb, net ni 4g, bei 280,000/= nicheki 0714495367 niko dar, sababu za kuuza, nina simu nyingine nimeletewa
mini mac iyo inauzwa, and those are the specś
2.4GHz Intel Core 2 Duo Processor
4 GB of 1066MHz DDR3 memory
Dual 320GB 7200-rpm Serial ATA hard Drives
NVIDIA GeForce 320M Graphics
Mac...
Model Huawei Y530
Rangi ni nyeupe.
Ipo na charger yake
in verry good condition
Nipo Mikocheni
Bei 150,000
kwa kuona picha nichek whatsapp 0715553166. sms zote zitajibiwa
ghfsk
For sale inauzws Huawei ascend y330 ni used imetumika wiki 2 tu UK. ni kama mpya haina michubuko ni simu na chaji tu bei Lakini moja 100.000tshs niko posta Dar. Nipigie 0672156295 Ahsante.
Nimeibiwa laptop aina ya hp hapa bukoba mjini byekera maeneo ya kasarani. Ina window 8.1 pro kwa aliyeiona au kuichukua nitext 0715 276 275 au 0765 276 275. Hasante kwa upendo na kujali
Wakubwa shkamoon wadogo poa...
Mimi kwa sasa nimepanga maeneo ambayo kwa kweli sipapendi kwani kwanza nlipangia shida sasa nataka kuhama nihamie maeneo kama ubungo au tabata....
Kwa anaejua eneo...
Mi ni mtumishi niko mikoani nahitaji gari aina RAV4. Ninamaanisha jamani mwanaJF. Aliyenayo au mwenye taarifa anijuze tufanye biashara. Miaka isiwe chini ya 2005.
Kiwanja chenye ukubwa wa futi 50 kwa 40 kipo Msongola inauzwa kwa bei poa ya 2.2 million tu,Inauzwa bei rahisi kwa sb mwenyewe amepata matatizo.Kipo Msongola Ilala barabarani kabisa.
CONTACT...