Nauza vifaa vya saluni

Nauza vifaa vya saluni

Kwetusongea

Senior Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
117
Reaction score
45
Ni steamer,kioo cha saluni,lorazi na pesen la kuoshea nywele vipo kwenye hali na bei ni maelewano,Piga 0718096900
 
Typing error,haraf n hv co kila kinachopostiwa lazima ucomment wabongo tunashida
 
Bei gani? biashara huria taja bei watu waongeze/wapunguze dau. Unataka Kurudi Bombambili Wakunyumba?
 
Kwa anaehitaj anitafute kwenye no 0718096900 ntamtajia bei
 
Back
Top Bottom