Kampuni ya Connectmoja Technologies ya Tanzania Inatoa Ofa Maalumu kwa Wamiliki wa Shule, Vyuo na Taasisi za Elimu kuweka Mfumo wa Usimamiaji wa Uendeshaji wa Taasisi hizo yaani (School Management System) Mfumo huu utamwezesha Mzazi,Mwanafunzi na Uongozi wa Shule Kujua Taarifa Za mwanafunzi kwa njia ya Interenet pamoja na SMS.
Mzazi atajua maendeleo ya Mwanafunzi pia atajua Taarifa Mbalimbali kwa Kutumia simu ya Kiganjani au kwa Njia ya Mtandao wa Internet.
Wasiliana Nasi kwa Haya na Mengi Kupitia Emai: office@connectmoja.co.tz au Simu 0714215600 . Ofa hii inaisha Tarehe 10 Mwezi Mei Mwaka 2015
Tembelea tovuti yetu: ConnectMoja Tech Ltd | ... .we deliver the quality you deserve