Eneo la heka 4 linauzwa

Eneo la heka 4 linauzwa

Freedom tommorrow

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
1,795
Reaction score
1,132
Kuna eneo la hekari nne lipo Mchikichini jirani na mwembe mdogo njia ya kwenda Kimbiji.

Ni kilometer kama 17 kutokea kigamboni na kilometer kama 1.5 kutoka katika magorofa yanayojengwa na NSSF.

Hakipo barabarani ni 1.5 km kutoka barabarani. Kuna barabara zimeshachongwa kinafikika kila hekari moja ni milioni 8.

Anaetaka tujulishe, Hakuna dalali.
 
chukua million nne kwa kila heka moja nichukue heka zote

kama unataka ekari nyingi mkuu kuna ekari 20 zipo km15 kutoka tumbi hospitali kila eka ni one mil
gari inafika wakati wote kama kauwezo kadogo sio lazima ununue zote
unapewa kiasi chochote unachoweza
 
kama unataka ekari nyingi mkuu kuna ekari 20 zipo km15 kutoka tumbi hospitali kila eka ni one mil
gari inafika wakati wote kama kauwezo kadogo sio lazima ununue zote
unapewa kiasi chochote unachoweza

MKUU vipi umesikia anataka kibaha kwenye mafoleni? Yeye anataka kukaa karibu na mjini pia karibu na MJI mpya wa kigamboni. Daraja likikamilika yeye atatumia dak 30 kufika posta, tumbi je?
 
hapana mkuu milioni 6 nilikataa kwa hiyo bei ningeshauza zamani. Kwa ufupi ngoja nikupe faida ya eneo lenyewe. Wengi ninaopakana nao wameuza MAeneo yao kwa muhindi mmoja nafikiri unaweza kumfahamu. Amechukua maeneo karibia yote ya karibu na bahari kasoro watu 3 ambao hatujakubari kumuuzia yeye. Mimi ninazo heka 8 nataka kuuza heka 4 tu nibakie na nne. natangaza hapa biashara sipendi eneo lote lichukuliwe na wao.
 
Hongera kwa kukataa milioni 6, siku ukiikumbuka na kuijutia hiyo Milioni 6 nicheki pm nitanunua kwa 4M kila ekari

NB: 5M - 7M unapata ekari moja Gezaulole ambayo ipo karibu zaidi Na Feri au mwongozo ambayo ipo karibu zaidi Na mradi wa NSSF kuliko hapo mwembe mdogo ambapo eneo lako lipo.

Si kwa ubaya lakini. kila la kheri
 
kama unataka ekari nyingi mkuu kuna ekari 20 zipo km15 kutoka tumbi hospitali kila eka ni one mil
gari inafika wakati wote kama kauwezo kadogo sio lazima ununue zote
unapewa kiasi chochote unachoweza
Kibaha sehemu gani?
 
hongera kwa kukataa milioni 6, siku ukiikumbuka na kuijutia hiyo milioni 6 nicheki pm nitanunua kwa 4m kila ekari

nb: 5m - 7m unapata ekari moja gezaulole ambayo ipo karibu zaidi na feri au mwongozo ambayo ipo karibu zaidi na mradi wa nssf kuliko hapo mwembe mdogo ambapo eneo lako lipo.

Si kwa ubaya lakini. Kila la kheri

kamwe sitoweza kujutia kwani hilo eneo lote la hekari nane UWEZI KUAMINI nilinunua kwa shilingi elfu 30 tu (30,000/=). Mwaka 1995. Kama hakuna mteja nitatangaza tena biashara hiyo baada ya miaka 5 ijayo yaani 2020 penye majaaliwa. Nitatangaza kwa milioni 20 hekari moja au zaidi kwa sasa biashara naifunga. sio kweli kuwa gezaulole ipo karibu na majengo ya NSSF kuliko mwembe mdogo alafu Gezaulole limeshakuwa Eneo la Mradi.

ASANTE KWA KUCHANGIA NI BIASHARA TU AMBAYO NI MAKUBALIANO
 
kama unataka ekari nyingi mkuu kuna ekari 20 zipo km15 kutoka tumbi hospitali kila eka ni one mil
gari inafika wakati wote kama kauwezo kadogo sio lazima ununue zote
unapewa kiasi chochote unachoweza

Kiongozi weka namba yako ya simu tukutafute au nicheki hapa 0787577755
 
Back
Top Bottom