Plain Tshirts zinatafutwa

Plain Tshirts zinatafutwa

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
nipo dar wapi naweza pata plain tshirts kwa bei ya jumla yenye v-neck nikipata aina ya jaguar itakua poa zaidi
 
Nenda posta maduka ya wahindi mitaa hapo baridi kwa ndani kidogo zipo kibao.
 
Ninazo plain lkn ni za round neck kiasi chochote utakacho.
 
Unataka uzipige chata ya mzee EL??
 
kaka kwema unaitaji tshirt ngapi,na quality ipi?
 
nicheki whatsapp me najua sehemu ya kuzipata na mimi ni dizaina na printer pia so kama unataka kuprint na unahitaji hizo tshirt plz nicheki hapa 0715426668
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom