Baby Walker (Vitz)

Baby Walker (Vitz)

Ayusema

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
549
Reaction score
189
Wana JF,

Nahitaji baby walker (used vitz) offer yangu ni Tsh 3M ni pm kama unayo au unajua mtu anasukuma.
 
ha ha ha mkuu, umeizarau hiyo gar

@pozzyfaza sijaidharau ndo maana naitaka, ila gari nyingi zaitwa hivokama passo, vitz, starlet, swift, cami, ist japokuwa bei ziko juu sana
 
@pozzyfaza sijaidharau ndo maana naitaka, ila gari nyingi zaitwa hivokama passo, vitz, starlet, swift, cami, ist japokuwa bei ziko juu sana

Sasa kama bei ziko juu sana, wewe inakuaje unatoa offa ya milion 3? au ndio juu yenyewe?
 
Ndugu yangu jitahidi kuongeza hiyo pesa maana gari ya milion3!utajuta kuinunua!ila muda sii mrefu utaambiwa ipo!!!
 
Gari ya milioni tatu unaweza pats ila jiandae kuifanyia matunzo ya kila dakika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom