Mbao!mbao!mbao!na vifaa vingine vya ujenzi soma hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbao!mbao!mbao!na vifaa vingine vya ujenzi soma hapa!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mbeke, Sep 18, 2012.

1. M

Mbeke Member

#1
Sep 18, 2012
Joined: Aug 5, 2012
Messages: 30
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
KWA WATU WOTE WANAOHITAJI VIFAA VYA UJENZI AMBAVYO NI:
1.MBAO ZA AINA ZOTE....TREATEDTIMBER MBAO NGUMU NA SYPLUS
2.HARDWOOD YAANI MBAONGUMU AMBAZO NI...MNINGA,MKONGO,MTONDOO,MLINGOTI
3.GYPSUM KUTOKA THILAND,CHINA,TANZANIA
4.SINGBOARD,MISUMALI,RANGI,CEMENT ZA AINA ZOTE!
KWANINI NYUMBA YAKO ISIONWE NA MJUKUU WAKO?KWANINI UISHI KWENYE NYUMBA YENYE NYUFA?KWANINI ULALE NA MWAMVULI NDANI?KWANINI USIFURAHIE UJENZI WAKO?WASILIANA NASI KWA NAMBA ZIFUATAZO ILI UWE MFANO KWA WENGINE....
0764600238
0716801591
0715292319
0653591232
TUNAPATIKANA BUGURUNI (MANDELA ROAD)UKIFIKA ULIZA MAMA LEAH.
KARIBUNI SANA NA MUNGU AWABARIKI SANA.

2. Elijah

Elijah JF-Expert Member

#2
Sep 18, 2012
Joined: May 28, 2012
Messages: 1,671
Likes Received: 126
Trophy Points: 160
2 by 4 unauzaje kwa piece????ni hizi white board

3. King Kong III

King Kong III JF-Expert Member

#3
Sep 18, 2012
Joined: Oct 15, 2010
Messages: 25,154
Likes Received: 2,406
Trophy Points: 280
Sasa mama leah kwanini tununue kwako? Ebu weka faida tutazopata tukinunua kwako?

4. King Kong III

King Kong III JF-Expert Member

#4
Sep 18, 2012
Joined: Oct 15, 2010
Messages: 25,154
Likes Received: 2,406
Trophy Points: 280
Cement unauzaje? Bati za msouth sh ngapi?

5. M

Mbeke Member

#5
Sep 18, 2012
Joined: Aug 5, 2012
Messages: 30
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
kwanza asante sana kwa txt yako!iko hivi,,,hatuuzi kwa piece...tunapima kulingana na urefu wa ubao..vipimo ni mita na futi!kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa namba hizo hapo juu.....

6. M

Mbeke Member

#6
Sep 18, 2012
Joined: Aug 5, 2012
Messages: 30
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
nashukuru kwa txt yako...ila naomba uwasiliane nasi kwa namba hizo hapo juu!

7. M

Mbeke Member

#7
Sep 18, 2012
Joined: Aug 5, 2012
Messages: 30
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
asante kwa txt yako na kwa kujali pia....tafadhali naomba wasiliana nasi kwa namba hizo hapo juu.

8. M

Malila JF-Expert Member

#8
Sep 18, 2012
Joined: Dec 22, 2007
Messages: 4,410
Likes Received: 735
Trophy Points: 280
Hapa ndio Wabongo tunaposhindwa kufanya biashara, hapa jf ni tangazo tosha, sasa badala ya kuweka kila hapa unaanza kutupeleka ktk simu, kumbe ungeweka kila kitu hapa ungepigiwa simu na mtu aliyeridhika na tangazo lako. Unaficha nini hadi tukupigie simu, biashara yenyewe ni ya wazi kabisa mkuu. kumbuka huko peke yako ktk hizo mbao hapo Buguruni

9. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#9
Sep 18, 2012
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,822
Likes Received: 22,467
Trophy Points: 280
mimi nataka nguzo za umeme
unazo?

10. masopakyindi

masopakyindi JF-Expert Member

#10
Sep 18, 2012
Joined: Jul 5, 2011
Messages: 13,918
Likes Received: 2,348
Trophy Points: 280
Du!

Mama Leah are you serious!!

11. M

Mbeke Member

#11
Sep 18, 2012
Joined: Aug 5, 2012
Messages: 30
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
2 by 4 kwa mita moja shilingi 2300,2 by 2 mita moja shilingi 1150.2 by 6 kwa mita tunauza 3300.FISHERBOARD 12000 kwa piece moja ya nane,moja ya kumi shilingi 16000 kwa piece.

12. M

Mbeke Member

#12
Sep 18, 2012
Joined: Aug 5, 2012
Messages: 30
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
JAMANI SITANII...am serious!

13. majorbuyoya

majorbuyoya JF-Expert Member

#13
Sep 18, 2012
Joined: Apr 1, 2012
Messages: 1,815
Likes Received: 29
Trophy Points: 145
Mkuu, hizo nguzo za umeme unazihitaji ngapi na unataka ambazo treated au utazi-treat mwenyewe?

14. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#14
Sep 18, 2012
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,822
Likes Received: 22,467
Trophy Points: 280
Nataka zilizo treated
za ft 30 na ft 36
tafadhali zisiwe za wizi
nipe price mkuu kama unazo
nitahitaji nyyingi tu

15. M

Mbeke Member

#15
Sep 18, 2012
Joined: Aug 5, 2012
Messages: 30
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
unahitaji saizi gani?

16. Preta

Preta JF-Expert Member

#16
Sep 18, 2012
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 24,113
Likes Received: 3,036
Trophy Points: 280
tunahitaji jibu hapa mkuu Mbeke.....

Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
17. M

Mbeke Member

#17
Sep 18, 2012
Joined: Aug 5, 2012
Messages: 30
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
nguzo zina ujazo tofauti,sawa urefu futi hizo je ujazo unataka upi? ndio maana nikasema tuwasiliane ili tueleweshane vizuri.na hii ni biashara ya muda mrefu hivyo wizi haupo kila kitu kimesajiliwa na risiti ya kupita nazo barabarani utapewa mkuu.

18. majorbuyoya

majorbuyoya JF-Expert Member

#18
Sep 18, 2012
Joined: Apr 1, 2012
Messages: 1,815
Likes Received: 29
Trophy Points: 145
Mkuu, bila ya shaka hizi zitakuwa ni za urefu wa mita 9 na 11. Vipi kuhusu specifications za diameters(top diameter na bottom diameter)?

19. M

Mbeke Member

#19
Sep 18, 2012
Joined: Aug 5, 2012
Messages: 30
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
jamani...maelezo yote nimetoa mwanzo!mawasiliano nimetoa...na nikasema kwamba kwa maelezo kama hayo unayoyauliza tuwasiliane kwa namba hizo hapo juu...kama zisingekuwepo basi ningefanya hivyo!inamaana nikikutajia bei hapa hutaitaji kupunguziwa?hili ni tangazo na kwa maelezo piga namba hizo utapewa yote unayoitaji!tafadhali fanya hivyo.

20. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#20
Sep 18, 2012
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,822
Likes Received: 22,467
Trophy Points: 280
wewe sema bei bana
spcification za nini
weewe nguzo za umeme si zinafahamika?

Loading...