Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

salaam,mashuka yanapatikana ya cotton size 7/8 ,bei ni 25,000 tshs,ni makubwa,hayachuji,hayatelezi ukilalia,ni shuka moja na foronya mbili,napatikana segerea,ukihitaji mzigo unaletewa,mkoani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
husika na kichwa hapo nauza Automatic pump control ni mpya na sijawahi kunitumia , hii unafanya kazi pamoja na pump ya kupandishia maji sana sana kwenye pipa la maji, Huna hata ya kumsumbua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kisizidi 120K. ningependelea kiwe self contained na kisiwe mbali sana na city centre. msaada wa haraka tafadhali. #nimemPostia mtu.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Weka hints zake. Isiwe chakavu, wala tatizo lililopelekea uiuze. Pia Vits, au Oppa kama unayo please.. Weka hapa na bei yake.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu;salam zenu nyote... yeyote ajuaye kiwanja knapopatkana iwe kigambon mjimwema kiwanja kikubwa na kizur (ikbd kilichopimwa) bajet yangu n 5ml..... na pia chamaz km kipo.. natanguliza shukran...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Alienayo tuwasiliane!!
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Nipigie simu kwa maelezo zaidi kupitia +255719215909,magari yote ni kutoka japan
0 Reactions
11 Replies
4K Views
iPhone 4s inauzwa haina tatizo lolote unapewa cover na usb cable yake bei ni laki 250 nina shida ya haraka nipo dar es salaam 0654041013
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Natafta nyumba ya kupanga inayoweza kukaa watu wawili (sharing) . Makumbusho , msasani Mwenge or isiwe mbali na posta na isiwe ghali sana . Nipe pm / offer
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kwa wakazi wa mbeya.nyumba ipo barabarani .hapo ni lelini barabara ya ituha.mawasiliano zaidi 0715 645253
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Nyumba mpya inapangishwa maeneo ya Kunduchi Beachi karibu na hoteli ya Silver Sands. Nyumba ina eneo la mita za mraba 300, vyumba 3, sebule, jiko na eneo la kutosha kwaajili ya maegesho ya gari...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama kichwa cha thread kinavyosema kinajitosheleza. Kama unayo nicheki kwa 0765935449
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Maeneo ya Mbezi beach, isiwe mbali sn na barabara, JKT Mbuyuni, Tangibovu. Iwe na ustaarabu. Nipigie 0755103405
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salamu zenu wote, Nauza mafuta ya kupikia ya Alizeti ni mafuta halisi na yamethibitshwa na TBS. Bei ni kama ifuatavyo:- Galoni za Lita 5x4(katoni 1) ni Tsh 60,000/- Galoni za lita 3x6(katoni...
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Habar wana jf.Kwa mahitaji yako yako viatu na handbag bomba za mitumba usisite kuwasiliana nasi dar tunakuletea ulipo mkoani tunatuma pia unaweza kutofollow pia instagram account...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
napatikana dom,tuwasiliane jmfate42@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwenye nayo tuongee biashara bajeti yang ni 360,000
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Lg g3 gold 16gbhdd 2gb.ram 2.5ghz processor dualcore os4.4.2 adroid in very great condition comes with box.please serious buyer call:0758078512.0654870412
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Have you ever heard about Internet of Thing????, Here it comes now you can control every home equipment by using your smartphone, kwa kutumia simu yako ya mkononi unaweza kurahisisha maisha, kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom