Internet of Thing services

Internet of Thing services

McHom

New Member
Joined
May 17, 2014
Posts
3
Reaction score
0
[SUB][SUP]Have you ever heard about Internet of Thing????, Here it comes now you can control every home equipment by using your smartphone, kwa kutumia simu yako ya mkononi unaweza kurahisisha maisha, kama vile[/SUP][/SUB]:

1) Kuwasha taa za nyumbani kwako kwa kutumia simu, sio tu hivyo hata kutaka rangi uitakayo taa yako kutoa,na hicho kitendo cha kuchanganya rangi kinafanyikia kwenye simu yako.

2) Huna haja ya kuzima taa za nyumbani au tv yako wakati wa kwenda kulala, hivi vinafanyika automatically kwa kutumia intelligent sensors​

3) Pia Nina wireless plug ambazo huna haja ya kuchomeka kwenye switch ya umeme directly hata kama upo nje ya nyumba sehemu ambapo hamna swich ya umeme wee unaweza kupata umeme

4) Smartlock ambazo unaweza kufungua kwa kutumia simu yako ya mkononi hii itakusaidia sana kama uko ofisini na umefunga mlango na ndugu yako amekuja kukusalimia huna haja ya wewe kurudi nyumbani na kumfungulia baadala yako unaweza kumfungulia ukiwa mbali.

5) Nina smoke detectors ambazo zinaweza kudetect moto na zikakutumia taarifa kwenye simu yako ya mkononi na hii inaanzia pale joto la nyumnani mwako linapoanza kubadilika above 65C.

6)Pia curtain sensors ambazo zinafungua pazia automatically na kufunga hiyo pia unatumia simu yako ya mkononi.

Navingine vingi sana huu mfumo unaitwa SmartHome system kumbuka kwamba huu mfumo unaweza kukupa alert ukiwa Ofisini kwamba ulisahau kuzima taa au maji yanatoka, au hujazima gas jikoni, then ww unaweza ukazima hivyo vitu kwa simu yako ya mkononi raha ilioje??


Kwa maelezo zaidi na huduma piga: 0652478487
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom