Nahitaj plot...kigamboni au chamaz

Nahitaj plot...kigamboni au chamaz

kigori one

Senior Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
169
Reaction score
39
Ndugu;salam zenu nyote... yeyote ajuaye kiwanja knapopatkana iwe kigambon mjimwema kiwanja kikubwa na kizur (ikbd kilichopimwa) bajet yangu n 5ml..... na pia chamaz km kipo.. natanguliza shukran zangu za dhat.
 
viwanja vipo kigamboni vya ukubwa wowote vimepimwa sqm sh 10,000 kama utahitaji kuona na kutembelea number yangu hiyo 0657145555 mi dalali we ukinunua hunilipi chochote nalipwa na mwenye kiwanja , ila nikikupeleka unanipa service charge.
 
...kipo 70x70 bei 20m kina hati ....
 
viwanja vipo kigamboni vya ukubwa wowote vimepimwa sqm sh 10,000 kama utahitaji kuona na kutembelea number yangu hiyo 0657145555 mi dalali we ukinunua hunilipi chochote nalipwa na mwenye kiwanja , ila nikikupeleka unanipa service charge.

naomba nkuchek j3...... service charge haina neno.. vipo sehm gn??????
 
vipo mwanzo mgumu ndugu , kwa pesa yako inamaaana utapata cha ukubwa wa sqm 500. ni umbali 28km toka feri . ramani ipo
 
esa kuongezwa c tija... ishu viwe sehm nzur.. mtu kutoa milion 10 o 15 kupata eneo tambarare zur kiwanja kmepmwa sio tatz ata chembe
 
Back
Top Bottom