Natafta nyumba ya kupanga inayoweza kukaa watu wawili (sharing) . Makumbusho , msasani Mwenge or isiwe mbali na posta na isiwe ghali sana . Nipe pm / offer
hapana, nataka nikuunganishe na dalali...tatizo ataniuliza bajeti yako, jirani yangu hapa makumbusho kuna mtu amehama kama wiki mbili zilzopita, yeye alikuwa analipa $450, bei ya sasa sijuwi.
hapana, nataka nikuunganishe na dalali...tatizo ataniuliza bajeti yako, jirani yangu hapa makumbusho kuna mtu amehama kama wiki mbili zilzopita, yeye alikuwa analipa $450, bei ya sasa sijuwi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.