Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,125
- 2,449
husika na kichwa hapo nauza Automatic pump control ni mpya na sijawahi kunitumia , hii unafanya kazi pamoja na pump ya kupandishia maji sana sana kwenye pipa la maji, Huna hata ya kumsumbua kuwasha na kuweka, kuzima pump ya maji hii inakusaidia kuwasha pump yako pindi ikihisi maji yamekuja na kuzima yakikatika au tank likijaa, bei yake ni 80,000 nipo Dar es Salaam kama unahitaji nichek kwa 0713415537