Nyumba inapangishwa Kunduchi beach

Nyumba inapangishwa Kunduchi beach

DarProperty Tz

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
168
Reaction score
29
Nyumba mpya inapangishwa maeneo ya Kunduchi Beachi karibu na hoteli ya Silver Sands. Nyumba ina eneo la mita za mraba 300, vyumba 3, sebule, jiko na eneo la kutosha kwaajili ya maegesho ya gari.

Kwa maelezo zaidi kuhusu nyumba hii bofya View Property
Kuona nyumba na viwanja sehemu mbalimbali nchini tembelea tovuti yetu DarProperty: East Africa's Ultimate Property Guide

1668.jpg
 
View attachment 251950

Weka bei, otherwise huna tofauti na matapeli wengine wanaoficha bei ili wenyenyumba wasijue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom