Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

300GB HDD 2GB RAM PROCESSOR 2.4GHz TSH.370,000/= ONLY 0718891984.
0 Reactions
2 Replies
885 Views
Habari Kampuni ya SunSweet Solar Limited ambayo ni kampuni ya solar ya Tanzania imeweza kufanya partnership na kampuni ya ‪#‎Fosera‬ inayotoka Ujerumani. Kutokana na...
1 Reactions
32 Replies
8K Views
35,000 TU. Piga + 255 654 984 414 Ubora ni wa hali ya juu na vipo hivyo hivyo kama vinavyoonekana kwenye picha. size 41-44. Gharama ya kukuletea ni 3000 tu.
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Uwezo:8GB internal memory, 1.5GB ram, Camera: 13mpx camera & 5mpx camera ya mbele, ina flash, OS: Android OS, 4.4.2 KitKat, Sifa zake: Display 5.5 inches, Processor Quad-core...
0 Reactions
1 Replies
986 Views
Mpya yenye wiring kasoro kuvutwa umeme.sh.milion 60.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1ekari- 12 Milioni Kipo Umbali wa 1km kutoka barabara ya Lami Kina clean title deed. Contacts: 0752953860
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gari aina ya SUZUKI Swift 1.3 ya kununua inatakiwa. Anayeuza atoe bei, pamoja details nyinginezo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza sh laki 5,tuwasiliane ni pm
0 Reactions
8 Replies
1K Views
INVENTORY MANAGEMENT SYSTEM is a desktop software which can be used to control inventory of your business; Manage your transactions easily, Sales Report, Stock Management, Client and supplier...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Nahitaji flatscreen TV kwa bei ya chini, used, kuanzia inch 28. Kampuni yoyote, Samsung, LG, Sony and others. Ni PM or call 0762778385.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Nimekaa Nairobi, kule miraa inauzwa kila kona kwenye viosk na ni wazi Government haina tatizo nayo. Sasa hapa Tanzania nasikia huuzwa kwa kufichwa fichwa! Nauliza hapa Dar inauzwa wapi? Mwenye...
0 Reactions
61 Replies
15K Views
Mimi ni nurse wa ngazi ya Diploma natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo. Mimi nipo katika hosipitali ya wilaya ya Ngara, Nyamihaga. Nataka kubadilishana na mtu wa Pwani au Dar es salaam...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mpya haijafunguliwa Unaweza print pg 2,300 black and white Inafaa kwa Printer zifuatazo HP LaserJet P2035 Printer (CE461A) HP LaserJet P2055d Printer (CE457A) HP LaserJet P2055dn Printer...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Vitu mbali mbali vinauzwa:- System, radio ya sony whats 4600 beiyake-300,000/= Meza ya chakula ya mninga na viti vyake sita-260,000/= Kabati la TV na kuwekea vitu vingine kubwa- 300,000/=...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Unafahamu kwamba dawa nyingi za kusafisha meno zina FLUORIDE? Na kemikali hii inasababisha cancer unayouwa kwa haraka sana. Na ni sababu wanatutahadhalisha tusimeze ile dawa. Je, watoto wadogo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Elegant luxury BMW X3, 2008. with very low mileage and well maintain, used only overseas. Full loaded, sport package; -4 wheel ABS with traction control -17 x 8.0 in Alloys wheels -Elegant...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mimi ni mwalimu Mariam Daniel Malanga, nafundisha Tabora, Nzega. Ninatafuta mwalimu wa kubadilishana nae aje huku Nzega, atokee Mbeya, Iringa au Sumbawanga. Contacts: 0689404936 au 0764507121 na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hati miliki ya nyumba inahitajika haraka ndani ya miezi 3, kwa bei isiyozidi mil.5. Kwa anayeweza mchakato huo anitumie private message.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Haya wadau, Nauza nyumba ambayo itahitaji maendelezo kidogo kwenye eneo zuri la Gangilonga. Kiwanja ni kikubwa mno na unaweza kujenga nyumba nyingine kubwa kwa nyuma. Kipo maeneo ya Gangilonga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
*Kiwanja Kipo Goba Tegeta 'B' *Ukubwa 1200 Mita za Mraba. *Gari linafika hadi kwenye kiwanja. *Umeme Upo jirani. *Hakina hati wala hakija Pimwa. *Hakina Migororo, Mwenye kiwanja anaishi hapohapo...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom