Kiwanja kizuri Goba 1200Mita za Mraba

Plot Agent

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
311
20
*Kiwanja Kipo Goba Tegeta 'B'
*Ukubwa 1200 Mita za Mraba.
*Gari linafika hadi kwenye kiwanja.
*Umeme Upo jirani.
*Hakina hati wala hakija Pimwa.
*Hakina Migororo, Mwenye kiwanja anaishi hapohapo.

Bei Milioni 24.
Contact: 0752953860
 
Attachments

  • 1431593184916.jpg
    1431593184916.jpg
    92.2 KB · Views: 648
*Kiwanja Kipo Goba Tegeta 'B'
*Ukubwa 1200 Mita za Mraba.
*Gari linafika hadi kwenye kiwanja.
*Umeme Upo jirani.
*Hakina hati wala hakija Pimwa.
*Hakina Migororo, Mwenye kiwanja anaishi hapohapo.

Bei Milioni 24.
Contact: 0752953860

Tshs 24,000,000÷ Sqm 1,200
= Tshs 20,000/Sqm (Unsurveyed Plot)
 
Kwahyo wewe unataka kupanga bei yako? tafuta chako upange bei yako sio kushededea vya watu ?????????
Mbona unajistukia na kupanic ovyo?
Mimi nilichofanya ni kuifafanua bei yako. Au nilichoandika Mimi na ulichoandika wewe ni tofauti?
Madalali mna shida sana, pengine ni sababu tu wengi wenu shule-less hivyo mmeamua kutokea kwa mlango huo.
 
Wewe ndiyo shule hauna, nani kakwambia madalali hawana shule? Ahahaha.... Ebu pita pale ardhi university ujione udalali ni course watu wanasoma, bwiga wewe
 
Hakuna mtu wa kunua kiwanja huko pasipo na barabara tena 1200sqm kwa 24ml.
Bora aongeze akanunue sehemu inayofifika.
 
Wewe ndiyo shule hauna, nani kakwambia madalali hawana shule? Ahahaha.... Ebu pita pale ardhi university ujione udalali ni course watu wanasoma, bwiga wewe

Mbwiga ni wewe,
Hiyo plot ukiuza kwa hiyo bei mi nitakupa hela zingine kama hizo punguani wewe!
 
Mbona unajistukia na kupanic ovyo?
Mimi nilichofanya ni kuifafanua bei yako. Au nilichoandika Mimi na ulichoandika wewe ni tofauti?
Madalali mna shida sana, pengine ni sababu tu wengi wenu shule-less hivyo mmeamua kutokea kwa mlango huo.

Safi sana mkuu umempa za uso unaweza kukuta kiwanja ni cha 6m kwa sababu ni dalali anataka apate faida 1000% wakati mwenye mali akiambulia kiduchu
 
Hakuna mtu wa kunua kiwanja huko pasipo na barabara tena 1200sqm kwa 24ml.
Bora aongeze akanunue sehemu inayofifika.

Sema Goba sipajui ashamba wewe sio unaleta bwebwe hapa, acha kuongelea watu jizungumzie mwenyewe kama huna pesa piga kimya. Mshamba wewe
 
Sema Goba sipajui ashamba wewe sio unaleta bwebwe hapa, acha kuongelea watu jizungumzie mwenyewe kama huna pesa piga kimya. Mshamba wewe

Ukiambiwa huna elimu unabisha, ndio umeandika nini sasa?
Wewe MEMKWA inakuhusu vilivyo!
 
Kilaza wewe, Kweli wewe mburura sina muda mchafu wa kupoteza kubishana na mjinga Kama wewe

Kwa lugha unayotumia sidhani kama a serious buyer atashawishika kufanya deal na wewe.

Ulipaswa ujue ku handle pressure....
 
Hivi huyu dalali ana akili kweli? Baada ya kupangua hoja na ku-handle pressure za watu wanaouliza hata kama ni kwa lugha ambayo yeye hajaipenda badala yake ndo anakuwa bingwa wa lugha za hovyo!! Hata kama mtu alitaka kushawishika anaghairi!! Kweli nimeamini unaweza ukawa na ubongo lakini usiwe na akili!! We dalali nenda kwa muhindi au mchanga ukajifunze lugha ya biashara!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom