Nurse natafuta mtu wa kubadilishana naye

Nurse natafuta mtu wa kubadilishana naye

ruzinga

Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
28
Reaction score
3
Mimi ni nurse wa ngazi ya Diploma natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo. Mimi nipo katika hosipitali ya wilaya ya Ngara, Nyamihaga. Nataka kubadilishana na mtu wa Pwani au Dar es salaam.


Namba yangu ya simu ni 0766-787503.
 
Mh, sidhani kama kuna nurse atakubali atoke dar aende ngara!! Bt nakuombea kila la kheri. Swali: Kwanini unataka kubadilisha kituo?
 
Back
Top Bottom