Vitu mbali mbali vinauzwa:-
Vyote viko kwenye hali nzuri tu.
Wasiliana nami kwa namba 0713-689665.
- System, radio ya sony whats 4600 beiyake-300,000/=
- Meza ya chakula ya mninga na viti vyake sita-260,000/=
- Kabati la TV na kuwekea vitu vingine kubwa- 300,000/=
- Makochi/sofa kubwa- watu 3-300,000/=
- Madogo mawili kila mmoja (kochi)-100,000/=
Vyote viko kwenye hali nzuri tu.
Wasiliana nami kwa namba 0713-689665.