NIKON D40-used for sale

Weka picha na details za camera ili mteja ajiridhishe maana tangazo lako liko plain sana na less convincing.
Biashara ni matangazo boss ili kijiuze mteja sio akufuate na ndio maana hata kunakuwaga na maonesho, yote hii ni kumvuta mteja
 
mkuu nimekuelewa imekataa kudownload ndio maana,ila kwa whatsapp naweza kukutumia
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom