Kwa wakazi wa Mwanza au yeyote mwenye ufahamu wa jiji hilo, naomba kujulishwa mahali lilipo duka ninapoweza kununua Professional camera aina ya Nikon D3200.
Tunapenda kuwatangazia kuwa tumetengeneza Android App inayoitwa Grab! Bajaj App.
App hii inamwezesha mtu yeyote kuona orodha za bajaj zilizozopo karibu na eneo alipo (Tanzania) pindi anapotaka...
nyumba imekamilika ina vyumba nane na kiwanja chenye ukubwa wa mita 20 kwa 24 na hati ipo.
ipo kigamboni kisiwani na barabara ipo kubwa mpaka kwenye nyumba
bei ni mil 100
karibu kuiona na...
Uwanja upo Kigambon karibia na ujenzi wa waturuki,bukubwa wa uwanja ni m.sq 2800 bei ni.mil 80 lakini,maongezi yapo, kiwanja kimepimwa na kina hati miliki.
Kwa mawasiliano nitafute hapa 0768359292
Nauza gari yangu aina ya Isuzu NQR70
Ni ya Diesel
Manual
Canter Ya Mizigo
Nyeupe
Imetembea 93K
One Owner
Runs Excellent
Bei Ni Tshs Mil 26.
Tuwasiliane 0713 505 435
Kwa anayehitaji mafundi kwa ajiri ya ujenzi wa nyumba,kupaua,na ujenzi wa mabanda ya mifugo,mashelf ya biashara ......
Tuwasiliane kwa namba 0753044414 na 0763600331 kampuni ya Shilatu co.ltd
Inahitajika gari RAV 4 old model ya 1997 - 1999, 5 doors, ambayo ipo katika good working condition na yenye vibali vyote. Gari ipatikane Dar es Salaam. Tuma details za gari na pics zake pamoja na...
Kwa wanaokujua Fukayosi au wanaopita njia hii ya Bagamoyo Msata watajua ninachotaka kusema. Kama unakwenda Fukayosi ukitokea Bagamoyo, mara baada ya kuvuka daraja la mto Ruvu upande wa kushoto...
A 154,000 SQUARE METRE (37 ACRES) PLOT IS FOR SALE IN ARUSHA
Location: Themi Ya Simba Arusha, about 28 KM from Arusha City Centre
Document: Title Deed (Attached)
Price: TZS. 2.8 Billion ( USD 1.5...
Naomba kwa mwenye bata mzinga wa kuuza au anayemfahamu muuzaji ani pm tuweze kufanya majadiliano ya kibiashara.
Mahitaji yangu ni bata mzinga wa3 wadogo ( miezi mi2 hadi mwaka)
Mimi nipo dar...
Ndugu wadau, baada ya kuchoka na kero ya usafiri katika jiji la Dar es salaam, nimeamua kujichanga kwa ajili ya kununua usafiri. Sasa nahitaji gari moja kati ya haya;
Toyota vitz, Toyota passo na...
We are selling classic wedding dresses. Available for both hiring and selling. Retail and wholesale. Contact our face pages East Africa wedding dresses supplies, and Emmanuel bridal shop. Bei ni...