Natafuta bata mzinga wa kufuga

Natafuta bata mzinga wa kufuga

gayo

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
238
Reaction score
93
Naomba kwa mwenye bata mzinga wa kuuza au anayemfahamu muuzaji ani pm tuweze kufanya majadiliano ya kibiashara.

Mahitaji yangu ni bata mzinga wa3 wadogo ( miezi mi2 hadi mwaka)

Mimi nipo dar

Asanteni
 
Naomba kwa mwenye bata mzinga wa kuuza au anayemfahamu muuzaji ani pm tuweze kufanya majadiliano ya kibiashara.

Mahitaji yangu ni bata mzinga wa3 wadogo ( miezi mi2 hadi mwaka)

Mimi nipo dar

Asanteni

Nipo tegeta tuwasiliane 0752555055
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom