Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu, nahitaji simu nzuri ambayo iko katika hari nzuri na pay yangu ni hiyo hapo kama utaridhika,usisite kuni pm.
Wadau nimedunduliza vijisent vyangu sasa vimefikia milion 7. nataka kununua kagari kadogo kwa ajili ya mihangaiko yangu ya mjini. Je naweza kupata gari lolote dogo kwenye Yard za dar kwa pesa...
Naitwa Neema Bundala(Shilo) nipo arusha namtafuta baba yangu anaitwa AGUSTINO MASOKOLA BUNDALA. Alikuwa anaishi tengeru Arusha miaka hiyo 1995.Aliniacha nikiwa mdogo sina hata picha yakujua...
*Kiwanja ni 400 Mita za Mraba.
*Umeme Upo Jirani, Barabara ya Gari ipo hadi kwenye Kiwanja.
*Kiwanja hakina Pimwa, hakina hati.
**Bei Milioni 7.5
📞📱0752953860
Ni TV ambayo ilipasuka kioo baaada ya kuangushwa so wale mafundi wenye kuhitaji spare au wewe uliyeharibikiwa Na flat TV yako nitafute tu wasiliane. Ni Samsung LED TV inchi 32.nipo Dar
Bei...
Kuna nyumba nzuri sana ya kupangisha Arusha USA river karibu na kituo cha Police USA river. Nyumba Ina vyumba 3 na sebule.Kimoja ni master bedroom. Ina vifaa vya ndani vipya kabisa hajawahi...
Habari zenu wana jamvi, nakaribisha wadau wanaovutiwa na biashara hii either kwa kununua kwa matumizi ya nyumbani au kibiashara .tunapatikana morroco (dar) bidhaa zetu ni original na pia ni pure...
Mada tajwa hapo juu inahusika. Naomba kufahamu kama naweza pata laptop (hasa Kariakoo) kwa bei tajwa hapo juu. Ni kwa ajili ya kujisomea na kuangalia movie tu.
Natanguliza shukrani
Laptop dell inspiron centrino 2..
Processor duo @2.40Hz
Ram 4gb
System 64-bit os
Hdd 320gb
Colour- black
Ipo katika hali nzuri.. na imekua installed na Windows mbili . Vista na Windows 7 home...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.