Inahitajika gari RAV 4 old model ya 1997 - 1999, 5 doors, ambayo ipo katika good working condition na yenye vibali vyote. Gari ipatikane Dar es Salaam. Tuma details za gari na pics zake pamoja na bei kwa namba 0778 101177. Au unaweza weka details hapa na namba zako za simu au kunipm