Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

habar wana jf Nina spea tairi ya gari ndogo size 23 stud 4 iko full hadi upepo! nauza bei unapanga wewe! call 0713943432 Nipo dar es salaam
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Frame inapangishwa Kariakoo, ipo mtaa wa Likoma na Muhonda kodi kwa mwezi 500,000 inatakiwa ya miezi sita kwa maelezo zaidi na picha naomba ni pm
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bei imepungua sasa. External Hard Disc: 1000GB Toshiba: Mpyaaaaaaa Bei: 140,000 badala ya 150,000 ya awali. Call: 0716952515
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenye kioo tajwa jamani tuwasiliane ni PM
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Kwa aliekuwa na S3 nichek tufanye dili.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nakupa blackberry torch 9800 used haina tatzo lolote kabisa pamoja na tecno M3 imetumika kwa mwez mmoja na nusu,ina kila kitu chake mpaka waranty yake. Wewe utanipa simu gani moja isiyo na tatizo...
0 Reactions
1 Replies
892 Views
Kwa alie na laptop na Anauza anicheki 0654715457 bajeti 235000k nipo dar.
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Habar, npo Dar mitaa ya Upanga nahitaji korosho zilizobanguliwa na tayari kwa kuliwa. Je naweza kupata kwa bei nafuu?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Simu tajwa ni used ila ipo katika hali nzuri inauzwa kwa 300000.piainawezaa kama inawezekana tunaweza kubadilishana na simu nyingine(s4 preferred) kisha utaongezwa mpunga. Kwa walio interested...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Simu ya samsung note 4 orijino inauzwa kwa Tsh 850,000
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Habarini wakuu,, Natafuta nyumba ya kupangisha nzuri, vyumba viwili au vitatu na sebule, self, iwe na geti. Ikiwa maeneo Tabata, kurasini, makumbusho au Ubungo ni vizuri japo ikiwa maeneo mengine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa kipo Mbweni, nyuma ya shule ya Bakili Muluzi. Kina ukubwa wa sqmt 1100 kimepimwa na kina Hati. Bei ni Tsh 45 Millioni (haishuki) Contact 0712859537 Dalali hatakiwi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanja kipo Kigamboni eneo la SUMANGILA mwanzo mugumu Dar es salaam. Kina hati na ukubwa wa eneo sqm 1500.Ni mwendo wa 28km toka feri ya Magogoni , bei ni 22m Tuwasiliane 0657145555.
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Aina:Dell laptop HDD:500GB Ram:4GB Processor:2.3GHz Wifi and bluetooth connectivity 3USB Port Betry life:one hour Price:480,000/= Inapatikana Dar es salaam Mikocheni Kwa...
0 Reactions
3 Replies
870 Views
nyumba inapangishwa arusha eneo kibanda maziwa. Nyumba ina chumba kimoja cha kulala sebule na choo ndani ziko 3 kwenye compound moja. Ziko karibu na barabara kuu ya nairobi. Ina geti maji na...
0 Reactions
2 Replies
694 Views
Nimenunua wiki iliyopita lakini nimepata simu nyingne kwahyo nimeamua kuiuza kama utapenda nicheki 0688206680 nipo dar
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji Sony Xperia Z2 mpya.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
mprojector mpya kutoka uk inauzwa kwa wanaohitaji wanicheki whatsaap 0715426668 kwa biashara zaidi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom