Mashine za kupukuchua mahindi zinahitajika

Mashine za kupukuchua mahindi zinahitajika

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,378
Reaction score
19,268
zinapatikana wapi na shilingi ngapi

na ni za aina gani
msaada wenu wakuuu
kama dar zinapatikana wap
 
zinapatikana wapi na shilingi ngapi

na ni za aina gani
msaada wenu wakuuu
kama dar zinapatikana wap

Nimeiona moja pale Njombe TFA, kama unahitaji mawasiliano na mhusika niambie nikupe simu yake.
 
zinapatikana wapi na shilingi ngapi

na ni za aina gani
msaada wenu wakuuu
kama dar zinapatikana wap

Umeipata tu nayo na iko turiani morogoro
Inaweza kwa siku kupakachua na ukapata gunia hata 70 za mahindi kwa siku
Karibu 0715591141
 
Hiyo yangu tulichukuaga sido njoo nikuuzie. . masai dada
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom