Viwanja vinauzwa Moshono karibu na Siara Pub

Viwanja vinauzwa Moshono karibu na Siara Pub

NOSVELA

Senior Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
198
Reaction score
27
Ukubwa 15 kwa 34 mt kina ukuta pande 2 umeme na maji ni vya kuunganisha tuu mita 500 kutoka cr pub pande zote zimeshajengwa kimebaki katikati. Bei 16ml tuu. Mawasiliano 0754 595256
 
Ukubwa 15 kwa 34 mt kina ukuta pande 2 umeme na maji ni vya kuunganisha tuu mita 500 kutoka cr pub pande zote zimeshajengwa kimebaki katikati. Bei 16ml tuu. Mawasiliano 0754 595256

mbona bei inapandishwa kila siku?, be serious kamanda
 
Hicho ni kingine mkuu soma ukubwa na details zake ni tofauti mkuu
 
Ndio mkuu ni kabla ya kwa sayore barabara ndio hiyohiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom