Nahitaji House Girl

Nahitaji House Girl

amatuks

Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
69
Reaction score
10
Kichwa cha habari kinahusika nipo Dar yeyote anayeweza kunisaidia ani PM tafadhali.
 
Wakuu bado nahitaji kwa mtu yoyote anaeweza kunisaidia kupata mfanyakazi za ndani tafadhali niPM.
 
full time au kuja na kuondoka jinsia yako
na una watoto

plz weka details
 
Nna mke ambaye ni mjamzito na mtoto wa miaka mitatu. Vyovyote akitaka kuja na kuondoka au kukaa poa tu. Nipo Kigamboni.
 
Back
Top Bottom