ZIPO POA ZIMESIMAMA USED FROM DUBAI BEI 590000 MAONGOZI YAPO 0713 387545 SMS UTAPIGIWA 0687-387545
NETWORK
Technology
GSM / HSPA / LTE
LAUNCH
Announced
2014, February
Status
Available...
Habari zenu wakuu,
Kama una mzigo wako wowote kutoka popote pale (iwe mikoani au nchi za jirani kama Kenya na Uganda) unafikia Dar nawewe haupo Dar unahitaji mtu wa kwenda kukupokelea na...
Hi wanajamvi, kiwanja kinauzwa maeneo ya St.Joseph university Mbezi ya Kimara, bei 19 millioni, maongezi yapo, ni pazuri saana sana, maji ya DAWASCO yapo, umeme nguzo ipo hapo hapo, majirani wapo...
Habari zenu,
Tuna kodisha kumbi mbili mpya hapa Morovian jirani na Mianzini trafic lights.Kumbi zetu ni nzuri kwa shughuli yeyote ya kijamii kama harusi,send off,ubarikio nkUkumbi wa kwanza una...
habari wadau.
chumba kimoja kinapangishwa ubungo external.. near mabibo hostel. kuanzia tarehe 1/7/2015,,,
kipo ndani ya fence na kuna geti, kuna umeme na maji dawasco.
na maji ya kisima...
Shamba linauzwa Chanika Mwanzomgumu Dar lina ukubwa wa ekari nne lipo katika mazingira mazuri na gari inafika mpaka shambani, kila ekari ni tsh 1,300,000 maelewano pia yapo kwa mawasiliano 071461548
Simu hii ipovizuri kabisa haina hitilafu hata kidogo kila kitu kipo inagharimu TSh 180000 tu.imetumika wiki tatu sasa,sijazoea simu ngumu kutumia hizi.
Kwa wanaopenda blackberry phone nna simu tajwa hapo juu iko kwenye hali nzuri kabisa na bado ni mpya kabisa inauzwa sh 80000(elfu themanini tu) kwa aliye tayari anicheki kupitia 0764339400.mie nko...
For those who need to start the blogging bussiness i have i right solution for you
i have deigned it to blog about jobs post and resumes advertisements
it allow job submission from from front end...
Wakuu,
Naomba kuulizia bei ya pikipiki kubwa aina ya BAJA kwa bei ya dukani(Mpya) na zile used, pia kama kuna seller wa hivi vitu naomba ani PM.
Kazi njema
Kiwanja kimepimwa, ni cha mradi wa manispaa ya temeke. Kina sqr mtr 1750, kwenye ramani kiko kwenye kona pacha za mtaa. kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi, guest house, hotel n.k.
Ninakiuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.