Napatikana Dodoma, unaweza kupata trey 50 kwa wiki, bei ni 8000/= mayai ni ya kienyeji kama tittle inavyojieleza hapo juu. Kama unahitaji tuwasiliane kupitia simu namba +255716863406.
Wote...
Habari wakuu,
Nawaletea kwenu kitabu cha "Asemavyo Zitto" kilichokuwa inspired na Mahojiano yaliyofanyika hapa JamiiForums (Mahojiano ya Moja kwa Moja na Mhe. Zitto Zuberi Kabwe) yaliyofanyika...
Habari wana Jf
Kwa wale wapenzi wa smartphone na simu nyingine zote tukutane apa tuweze fanya biashara kwa wenye simu mbali mbali tuweze kuuza na kununua simu.
Wadau
Kuelekea kuchukua Jimbo moja mwezi Oktoba, nauza GARI langu Canter Tone Tatu Box Body pichani kwa bei nafuu sana. Lina mwezi mmoja tangu liwasili kutoka Japan. Lipo Dar es Salaam.
Pia...
Kwa wenyeji wa Arusha, vp nasikia kiwanja kipya kipo tayari maeneo ya Usa River Arusha. Aliyefika atueleze kilipo na kilivyo maana toka nipate habari zake enzi kinajengwa nimetokea kuwa na hamu...
Kwa atakaehitaji nguo za kiume na kike (t shirt na suruali kwa wakubwa na wadogo) viatu (raba na boot) za wakubwa na ndogo. Anicheki kwa 0655 44 44 40 kwa whatsapp bei ni maelewano na mzigo ni wa...
Tshirts aina ya Manga zenye nembo logo ya Ramadhan Qareem zinauzwa moja ni tsh 20,000. Zipo size ya kila aina i.e large, extra large, medium na free size, pia zipo rangi za kila aina kuanzia red...
Nauza hp laptop HDD 500GB, Windows 8.1 Enterprises. Laptop ni mpya kabisa na inatumia Intel Processor @ 2.16GHz. Tafadhali nipigie 0684-599-704, au nicheck kwenye WhatsApp. Bei Shs.650,000...
Erectile dysfunction; Kama unatatizo la nguvu za kiume au mumeo /rafiki anatatizo kama hilo nitafute ;0716548250. Situmii dawa za kienyeji wala dawa zenye kemikali.
Only serious people are...
Wana JF,
Leo naleta kwenu biashara, nina Toyota IST ya mwaka 2002 namba zake ni CBD inauzwa 9.5m imetembea km 86,670 tu tena hapa hapa Dar es salaam. Yaani kuja ofisini na kupaki nyumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.