BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,249 Jun 16, 2015 #1 Habari wakuu. Nina 5ml ninahitaji gari lenye sifa hizi. linatumia petrol. AUTOMATIC Lisizidi 2000cc engine size. Bodi liwe na rangi safi toka kiwandani na sio ya kupakwa. Nipeni stori. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Habari wakuu. Nina 5ml ninahitaji gari lenye sifa hizi. linatumia petrol. AUTOMATIC Lisizidi 2000cc engine size. Bodi liwe na rangi safi toka kiwandani na sio ya kupakwa. Nipeni stori.