Kiwanja/plot inauzwa magari saba St. Joseph University

Kiwanja/plot inauzwa magari saba St. Joseph University

spray

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
277
Reaction score
241
Hi wanajamvi, kiwanja kinauzwa maeneo ya St.Joseph university Mbezi ya Kimara, bei 19 millioni, maongezi yapo, ni pazuri saana sana, maji ya DAWASCO yapo, umeme nguzo ipo hapo hapo, majirani wapo, 800 sqms.
Unaweza kujenga hostel au nyumba ya kuishi, Kama upo interested pls ni PM

Kama unataka picha nitumie namba yako PM nikutumie picha hapa najaribu sana inagoma sijui kwanini
 
Hi wanajamvi, kiwanja kinauzwa maeneo ya St.Joseph university Mbezi ya Kimara, bei 23 millioni, maongezi yapo, ni pazuri saana sana, maji ya DAWASCO yapo, umeme nguzo ipo hapo hapo, majirani wapo, 800 sqms.

Unaweza kujenga hostel au nyumba ya kuishi, ni pazuri sana nauza basi tu nina shida

Kama upo interested ni PM

Duh,
Hatareeee!!
 
Kwa hiyo kwa kila sqm moja ni takribani elfu 30! Daaah ufisadi umeharibu sana hii nchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom