Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wanajamvi, Nina budget ya shilingi mil 8 natafuta gari lililo katika hali nzuri, liwe na 4WD imara. Kwanza nilifikiria RAV 4 au SUZUKI ESCUDO. Naombeni ushauri
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Simu aina ya prestigio multiphone 5504 duo ionauzwa,simu hii ni almost mpya imetumika siku 6 tu,simu hii ni aina ya kiitaliano details zake ni kama zifuatazo,mwenye kuiihitaji apige simu na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wadau. chumba kimoja kinapangishwa ubungo external.. near mabibo hostel. kuanzia tarehe 1/7/2015,,, kipo ndani ya fence na kuna geti, kuna umeme na maji dawasco. na maji ya kisima...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF, Ninauza gari yangu Toyota mark II mwaka 2003 Namba T 738 CLQ KM 101000 Gari ipo katika hali nzuri sana nimeagiza mwenyewe toka japan kwajili ya shughuli zangu na sasa...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Kama kichwa cha thread kinavyosema, naomba mtu anisaidie vigezo ambavyo TRA wanatumia kukata ushuru kwa bidhaa zinazotoka nje ya nchi na kuingia kupitia posta. Especially kwa wale mnaofanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kozi Ya Stashahada Ya Ualimu Elimu Ya Msingi TANGAZO: KUANZISHWA KWA FANI YA STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA MSINGI Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa - SEKOMU (zamani...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habar zen wana jf natafuta tecno m3 ambaye anayo anichek kwa bei ya 55,000 {hamsin na tano elf} tecno m3 ile fupi yenye rangi kama ila yenyewe xo nyeus kama mt anayo anichek
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni simu mpya ya kisasa ambayo ina power bank ndani na inaweza kucharge simu nyingine kwa wakati huo huo. Betri yake inaweza kukaa na charge siku 13 Bei yake ni shilingi 55000 Warranty yake...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Hyo simu tajwa apo juu inahitajika original iliyokuwa kwnye hali nzuri..bei ni laki.3 na 50...npo nyegezi mwanza,whatsapp 0717420211
0 Reactions
2 Replies
956 Views
Backyard poultry, ni washirika wa wajasiriamali hasa wafugaji katika uzalishaji na uuzaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji pamoja na chotara kwa gharama nafuu. Vifaranga wetu wa siku moja...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Tunauza power bank za laptop kwa shilingi laki mbili na ishirini tu. Karibuni sana. Nicheki PM au nitumie email: tonyhaule@hotmail.com
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jamii Forum Sisi ni mafundi wa kutengeza vitanda vya chuma,grill za fance,gate la fance na mageti ya nyumba. Pia tunatengeneza vitanda vya chuma double deck pamoja na single,pia...
1 Reactions
23 Replies
32K Views
20800 mAh kwa 40000 only
0 Reactions
4 Replies
941 Views
mwenye iphone 5s used in mint condition nichek hapa ASAP
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Meza ya ya kusomea inatafutwa wadau ... Kwa tsh 40000/= nicheki pm kwa mawasiliano
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina iphone 4s nataka kuvunja na iphone 5s naongeza ela kidogo nichek 0714547830 au 0652871546 kama unayo
1 Reactions
4 Replies
964 Views
Simu tajwa apo juu inauzwa ni mpya na accersor zake kwa 580K ... Chek me #0718033066
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauza simu tajwa hapo juu iko katika hali nzuri imetumika miezi mitatu tu bei ni laki2. Ukihitaji nicheki 0654160092
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kama unahitaji nyumba za kupanga Mwenge mitaa ya TRA, mlalakua mpaka kijitonyama Zipo bei Zinatofautiana kulingana na nyumba husika, pia Kwa wale wanaohitaji chumba kimoja au chumba na sebule vipo...
0 Reactions
72 Replies
14K Views
Insignia (Coral Paints) waanzilishi rangi rafiki wa mazingira nchini Tanzania Kuchagua rangi rafiki kwa mazingira wakati wa upambaji hakufanyi tu hewa ya ndani kuwa safi lakini pia hutunza...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom