Habari wadau kwa wale walioko maeneo ya Mwanza hasa wanaopafahamu KISEKE B wilaya ya Ilemela kuna eneo lenye ukubwa wa ekeri 1 halijapimwa lakini linauzwa, bei inaanzia milioni 25 maelewano yapo...
Nina line ya biashara ya mpesa na kwa mtu yeyote atakaye hitaji kuuziwa tuwasiliane. Nikikuuzia nitakupatia line zote mbili za m-pesa na kukupa mafunzo jinsi ya kutumia m-pesa kwa atakaye hitaji...
Kipo kwam'mbo hatua kadhaa kutoka Magunga hospitali kiwanja kina eneo la kutosha parking na garden ya kupumzika bei milioni 4 haipungui.
Call 0688 990 975
Ninauza container futi ishirini limesha katwa ventilation kazi yako ni kufunga ac limepigwa ceiling ndani bei yake milioni tatu laki tano lipo Mbeya anayehitaji ni PM picha angalia chini
Habari wanaJF,
Ninauza simu (smartphone) aina ya bird leader, tatizo lake ni display kuna wakati inakuwa na mawimbi na wakati mwingine inakuwa fresh tu. Bei elfu 10 tu. Nipo Dar es salaam...
[SIZE=3]Kiwanja kinauzwa Kibamba kwa Mangi kabla hujafika kwenye zile nguzo kubwa za Tanesco, maeneo ya karibu na BUKUKU.
Maji DAWASCO yapo, umeme ni hapo hapo, pamezungukwa na nyumba ni pazuri...
EWE MWANAMKE FURAHIA NDOA YAKO KWA KUTUMIA SOY ISOFLAVINE
Hiki ni kirutubisho kilichotengenezwa kwa maharage ya soya na njerege.Isoflavine ambayo ni mahususi kwa vichocheo vya kike Kama...
Nauza Sumsang korean note shv e160s international version ambayo ni sawa na ni 7000 tofauti ni kuwa hii ni nzito.
Sababu ya dogo kukosa ada nauza kwa bei chee kama unavyoona. First come first...
Habari wana JF,
Nina gari aina ya Toyota Altezza yenye specifications zifuatazo;
Make: Toyota
Model: Altezza
YoM: 2002
Engine capacity: 1990
Body type: Saloon
Seating capacity: 5 passengers
No of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.