Ninatafuta gari 4 wheel

Ninatafuta gari 4 wheel

Sungurampole

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2007
Posts
984
Reaction score
206
Wanajamvi,

Nina budget ya shilingi mil 8 natafuta gari lililo katika hali nzuri, liwe na 4WD imara. Kwanza nilifikiria RAV 4 au SUZUKI ESCUDO.

Naombeni ushauri
 
Wanajamvi nina budget ya shilingi mil 8 natafuta gari lilokatika hali nzuri, liwe na 4WD imara. Kwanza nilifikiria rav 4 au SUZUKI ESCUDO.
Naombeni ushauri

Habari yako ntakupatia gari ukatalolihitaji
0715591141 namba ya sim kwa maongezi zaidi
 
mkuu kuna rav 4.milango 5 ipo dar namba B kama itakufaa 0717228064
 
Escudo no. B, km 100110 tu, insurance na road license mpaka April 16, haina mikwaruzo ... Njoo pm kama ni muhitaji
 
Back
Top Bottom