Natafuta tecno m3, mwenye nayo tuongee

Natafuta tecno m3, mwenye nayo tuongee

abdulh iddy

Senior Member
Joined
May 28, 2015
Posts
159
Reaction score
6
Habar zen wana jf natafuta tecno m3 ambaye anayo anichek kwa bei ya 55,000 {hamsin na tano elf} tecno m3 ile fupi yenye rangi kama ila yenyewe xo nyeus kama mt anayo anichek
 
Ukiikosa unaweza pia kunicheki nikupe sony experia ...
Android 4.4
Imetumika wiki 3 turn toka inunuliwe..
Gains tatizo lolote...
Bei laki 3 na 35 elf..

Discount can be made...

Napatikana dar es salaam... Pm me
 
duuh!!! mpo juu wadau natafuta ya hamsin na tano hiv teco m3 kwa iyo bei
 
Habar zen wana jf natafuta tecno m3 ambaye anayo anichek kwa bei ya 55,000 {hamsin na tano elf} tecno m3 ile fupi yenye rangi kama ila yenyewe xo nyeus kama mt anayo anichek

kwa hyo bei unaidharirisha hadi simu yenyewe.
 
Habar zen wana jf natafuta tecno m3 ambaye anayo anichek kwa bei ya 55,000 {hamsin na tano elf} tecno m3 ile fupi yenye rangi kama ila yenyewe xo nyeus kama mt anayo anichek

mkuu hiyo bei duu,, pesa haitoshi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom