Kwa wapenzi wa playstation games,mashine ps2 inauzwa bado ipo katika hali nzuri.inacheza games za kwenye flash na kwenye cds.inakila kitu chake pamoja.
-Unapata mashine yenyewe.
-pads mbili...
ps2 iliyotumika ila ikiwa kwenye hali nzuri inauzwa kwa bei nafuu ya laki na ishirini (120k)
ina padi moja
memo
power supply
ni ps2 ile ndogo sio kubwa
Habari,
Inahitajika Motherboard ya Laptop Hp-Compaq Presario motherboard hii inaingiliana na zile za hp Hp 630 series.
Mwenye nayo Tuwasiliane
#684 141 476
Dar es Salaam
Backyard poultry, ni washirika wa wajasiriamali hasa wafugaji katika uzalishaji na uuzaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji pamoja na chotara kwa gharama nafuu.
Vifaranga wetu wa siku moja huuzwa...
Kwa yeyote mwenye uhitaji wa logo popote pale ulipo tanzania pata logo sasa kwa bei ya tsh.40,000/= tu...kwa anaehitaji awasiliane nami kupitia 0689341445
Kwa wazoefu wa stationery naomba uzoefu hasa wa photocopy machine nzuri (mpya) na nzuri zinauzwa wapi hapa dar na bei zake zinakuwa bei gani nahitaji heavy duty
Hi Wanajamvi,
Kwa anaetaka ofisi, ni room mbili kubwa tu, kama 50 sqms hivi, ipo kijitonyama, Nililipa kodi ya mwaka @ 400,000 kwa mwezi ila kwasasa nahamisha ofisi sehemu kubwa zaidi ya hapa...
Helloz,
Nina agency ambayo nimekuwa nafanyia kazi nyumbani ( homebased) lakini umekuja umuhimu wa kuwa na office. Hivyo naomba mwenye office maeneo ya sinza mwenge, kijitonyama na survey...
Usipakate laptop kwenye mapaja joto linalotolewa na laptop linaweza kuathiri ukuaji na kuzaliwa kwa cell hai zako za mwili.ivyo hepuka kujizuru kwa kununua Cooling Laptop Table @ Tzs 230, 000/...
Wakuu kama kichwa kinavyosena, shamba lipo kibaha kwa Mathias ukipita nyungu kuelekea msangani, ukubwa wake ni ekar moja na nusu na lipo tambarare bei ni 15M, sababu za Kuuza ni mambo yangu kwenda...
Habari,
Katika kijiji cha Buyuni, kata ya Vigwaza kuna madimbwi makubwa mawili, dimbwi moja lina ukubwa wa eka 12.5, na dimbwi la pili ni kubwa sana, ni eka 39.0 (hapa tulipima nusu ya dimbwi)...
Natafuta simu aina ya Samsung Galaxy s3 nina Laki Moja na Nusu isiwe clone au imechoka sana iwe katika hali nzuri, kama upo tayari niPM au niwhatsapp kwa 0764361843
Mwenye iphone 6 used anipe bei na condition ya sim yake.
Naitaka leo ikiwezekana uhalali na uhakika wa kufanya biashara upo ... Wenye nazo tumen CV zenu