PS2 going for 120K

PS2 going for 120K

iggy25

Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
9
Reaction score
0
ps2 iliyotumika ila ikiwa kwenye hali nzuri inauzwa kwa bei nafuu ya laki na ishirini (120k)
  • ina padi moja
  • memo
  • power supply
ni ps2 ile ndogo sio kubwa
 
mimi ninayo.

Ina Padi Mbili

Memory card

Inacheza Game za Flash

Unapata flash ya 8gb yenye game 3

Iko katika hali nzuri, bei ni 120 haipungui hata senti.

Nicheki wasap 0767963625 kwa picha zaidi kama zipo tufanye biashara.
 
mi ninahitaji ps2 mbili complete (ps, padi 2 na flash)zinazotumia flash bajet yangu ni laki na 20 kwa kila moja, nipo dar ubungo, aliyetayari anicheki 0686591570
 
mimi ninayo.

Ina Padi Mbili

Memory card

Inacheza Game za Flash

Unapata flash ya 8gb yenye game 3

Iko katika hali nzuri, bei ni 120 haipungui hata senti.

weka namba basi tuwasiliane mkuu tufanye biashara
 
Back
Top Bottom