ofisi (2 rooms) inapangishwa kijitonyama

spray

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
277
241
Hi Wanajamvi,

Kwa anaetaka ofisi, ni room mbili kubwa tu, kama 50 sqms hivi, ipo kijitonyama, Nililipa kodi ya mwaka @ 400,000 kwa mwezi ila kwasasa nahamisha ofisi sehemu kubwa zaidi ya hapa, kwahiyo hadi sasa nimebakiza miezi mi5 kodi iishe, kodi inaisha novemba 30. Nimekaa hapa 4 years. Ofisi ina AC nzuri tu ambayo itabidi kama unitaka nikuuzie au niitoe, madirisha aluminium, imepigwa rangi nk, ni nzuri ya kuvutia,kwa ambaye hapendi pilika za mjini hapa umefika, Inafaa kwa shughuli zote za kiofisi. Kama ndo unaanza biznes utatumia furnitures zilizopo bure maana sizichukui. Nashindwa kuupload picha sijui kwanini, kama upo interested pls nipm, na kama utataka picha nitumie namba yako nikutumie picha.
 
Back
Top Bottom