Nauza Shamba Kibaha kwa Mathias

Nauza Shamba Kibaha kwa Mathias

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,125
Reaction score
2,449
Wakuu kama kichwa kinavyosena, shamba lipo kibaha kwa Mathias ukipita nyungu kuelekea msangani, ukubwa wake ni ekar moja na nusu na lipo tambarare bei ni 15M, sababu za Kuuza ni mambo yangu kwenda vibaya, nahitaji kuongeza mtaji wa biashara, sihitaji dalali, kwa anahitaji nichek kwa 0713415537 au 0684448888
 
Back
Top Bottom