Vifaranga bora wa kienyeji kwa bei nafuu

Ginner

JF-Expert Member
May 8, 2011
1,459
1,832
Backyard poultry, ni washirika wa wajasiriamali hasa wafugaji katika uzalishaji na uuzaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji pamoja na chotara kwa gharama nafuu.

Vifaranga wetu wa siku moja huuzwa kwa shilingi 1500, na bei hupungua mpaka shilingi 1300 kwa mteja wa zaidi ya vifaranga 500.

Tunapatikana Tegeta Bahari beach Dar es salaam

Mawasiliano:
0755815174

Karibuni nyote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom