Nahitaji office space ya kushare

Nahitaji office space ya kushare

carmel

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,836
Reaction score
267
Helloz,

Nina agency ambayo nimekuwa nafanyia kazi nyumbani ( homebased) lakini umekuja umuhimu wa kuwa na office. Hivyo naomba mwenye office maeneo ya sinza mwenge, kijitonyama na survey tuwasiliane..tunaweza kushare cost?
 
nahitaji frame kubwa ya wastani ila iwepo barabarani na eneo nzuri kwa biashara bei isizidi 65000 maeneo iwe kinondoni, moroko, morogoro road, mwenge, posta reply kwa hapa chini
unataka weka nini
 
Kuna frame Sinza Makaburini - Igesa Road, Karibu na Mwika Hotel

Wasiliana nami kwa No. +255 713 741 758
 
nahitaji frame kubwa ya wastani ila iwepo barabarani na eneo nzuri kwa biashara bei isizidi 65000 maeneo iwe kinondoni, moroko, morogoro road, mwenge, posta reply kwa hapa chini
umesahau sifuri moja, ni 650,000/=
 
Helloz,

Nina agency ambayo nimekuwa nafanyia kazi nyumbani ( homebased) lakini umekuja umuhimu wa kuwa na office. Hivyo naomba mwenye office maeneo ya sinza mwenge, kijitonyama na survey tuwasiliane..tunaweza kushare cost?
Pole Carmel,maana naona uzi wako umevamiwa na wapiga Viroba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom