Aunt Zainab's: Tunatafuta Website Designer Developer

Zainab Tamim

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
1,293
Reaction score
583
Ni wakati muafaka tukawa na website yetu.

Malipo ni kutokana na bidhaa zote zitakazouzwa kupitia website hiyo kwa hiyo tunataka designer, developer, manager, marketeer na sales solutions amma mmoja amma watakaoshirikiana.

Wanaoona wanaweza au wana mawazo mbadala tubadilishane mawazo hapa.

Anaetaka kujuwa zaidi kuhusu hiyo bidhaa atembelee hapa: https://www.jamiiforums.com/matanga...ural-unaolainisha-ngozi-sasa-unapatikana.html

Asante
Zainab.
 
Ni kazi rahisi mno sana na hata haihitaji website but ni simple mobile app unatengenezewa na mteja anamaliza kila kitu kupitia hyo kitu kama upo serious ni check 0716385824
 
Hiyo application unauzaje?
 
Ni kazi rahisi mno sana na hata haihitaji website but ni simple mobile app unatengenezewa na mteja anamaliza kila kitu kupitia hyo kitu kama upo serious ni check 0716385824

Labda unielekeze zaidi inafanyaje kazi na tutai apply vipi kwa kazi zetu, unaweza kunielekeza kwa pm au email zainabtamimtz@gmail.com au whatsapp 0689771331
 
Hadi kuihost kabisa ionekane Playstore itakughalimu tshs.100,000

Mkuu kwa hili hauko sahii unaua taaluma za watu, sina hakika kama ww ni mtaaluma wa hiyo kitu bali mdandiaji android app ya personal Tsh 100,000/=????

Mkuu unatumia code za programing nizijuazo kudevelope hyo ktu au ndo wale wa WYSIWYG (wht yo see is wht yo get) unadrag tu templates na kukamilisha kazi??

Namasha na wewe kumbuka hzo language ni ngumu mf. java thn unauza kias hcho acha kuharbu fani za watu utafanya elimu hizi za computer zionekane kamasi, kama siko sahihi watakuja wanataaluma kamili wengne najua watakupinga pia yani bei hyo hata website ya kisasa hupati sanasana kias hcho ulchotaja ni charge ya maintance hasa pc tena kwa motherboad kama diodes zimekufa.

OMBI LANGU KWA MTOA MADA tafuta wahusika kamili wa fani hzo watakusaidia vzuri kwan hata hyo app ikikrash utasaidiwa kirahisi achana na vya urahisi wa bei kama huyu hawezi saidia ikikwama sanasana atakimbia na kuingi mitini
 
Ni wakati muafaka tukawa na website yetu.

Malipo ni kutokana na bidhaa zote zitakazouzwa kupitia website hiyo kwa hiyo tunataka designer, developer, manager, marketeer na sales solutions amma mmoja amma watakaoshirikiana.

Wanaoona wanaweza au wana mawazo mbadala tubadilishane mawazo hapa.

Anaetaka kujuwa zaidi kuhusu hiyo bidhaa atembelee hapa: https://www.jamiiforums.com/matanga...ural-unaolainisha-ngozi-sasa-unapatikana.html

Asante
Zainab.

Ushauri wangu wa bure tafuta kampuni nzuri uingie nao mkataba watakusaidia achana na vya urahisi vitakusumbua REMEMBER unaweza tengenezewa hiyo ya urahisi ikawa ina spy kazi zako na kutuma feedback kwa wahusika bila ww kujua mwisho wa siku wakahack na ukaibiwa,

makampuni yapo mengi sana yanayoaminika yatayoweza kukusaidia vzuri na usijutie kamwe usipende android app kwa urahis wa bei zitakuspy na utaibiwa TAKE CARE
 
aliomba awe na web aseme ana budget kiasi gani.

pia mimi hiyo laki moja imenistua, nakucheki soon.
 
Mkuu kwa hili hauko sahii unaua taaluma za watu, sina hakika kama ww ni mtaaluma wa hiyo kitu bali mdandiaji android app ya personal Tsh 100,000/=????

Mkuu unatumia code za programing nizijuazo kudevelope hyo ktu au ndo wale wa WYSIWYG (wht yo see is wht yo get) unadrag tu templates na kukamilisha kazi??

Namasha na wewe kumbuka hzo language ni ngumu mf. java thn unauza kias hcho acha kuharbu fani za watu utafanya elimu hizi za computer zionekane kamasi, kama siko sahihi watakuja wanataaluma kamili wengne najua watakupinga pia yani bei hyo hata website ya kisasa hupati sanasana kias hcho ulchotaja ni charge ya maintance hasa pc tena kwa motherboad kama diodes zimekufa.

OMBI LANGU KWA MTOA MADA tafuta wahusika kamili wa fani hzo watakusaidia vzuri kwan hata hyo app ikikrash utasaidiwa kirahisi achana na vya urahisi wa bei kama huyu hawezi saidia ikikwama sanasana atakimbia na kuingi mitini

Mkuu tumia uwezo wako Wa kufikiri vizuri mm ni exelent expert karibia language 9 za coding mkuu.kutokana na hitaji la mteja ni mechanism ndogo sana ya kusolve hiyo business prblm.

Mmezoea kuwa kalilisha watu programming ni ngumu wakat ni vitu vya kawaida kwangu ni mefanya project zisizo pungua 50.ungekua na busara ungeniuliza portfolia ya app nilizo tengeneza kisha hapo ungeni hukumu.anyways kama muhusika alikua anazingua watu its okey bt am serious bout this
 
aliomba awe na web aseme ana budget kiasi gani.

Pia mimi hiyo laki moja imenistua, nakucheki soon.

Mkuu nadhani hatukuelewana kuhusu huyu bwana nimemwambia kutokana na urahisi Wa utatuzi wa fumbo lake la kibiashara nimemshauri ni mtengenezee application ya simu ambayo mteja anadownload kupitia Playstore na inshu zima za transactions zinafanyika online.

bt kama anajimudu vizuri ku implement its okey awe na website though kwa screening nilooifanya fasta fasta ni upotevu Wa hela na focus kumlenga mteja kuwa ngumu labda awe na pesa za kui advertise kwenye media aijue.
 
Mkuu tumia uwezo wako Wa kufikiri vizuri mm ni exelent expert karibia language 9 za coding mkuu.kutokana na hitaji la mteja ni mechanism ndogo sana ya kusolve hiyo business prblm.

Mmezoea kuwa kalilisha watu programming ni ngumu wakat ni vitu vya kawaida kwangu ni mefanya project zisizo pungua 50.ungekua na busara ungeniuliza portfolia ya app nilizo tengeneza kisha hapo ungeni hukumu.anyways kama muhusika alikua anazingua watu its okey bt am serious bout this

Huku ndo nasema kuharibu kazi za watu na kuchafua taaluma za watu mkuu kwa maana maelezo yako yanaonesha unafanya kazi zozote za coding hujali ubora wa kazi unachojali ni pesa huu ni utapeli mkuu, hata logo tu kwa designers wazuri hicho kiasi hakikubaliki iweje kwa code languages??

Hii ni taaluma kama taaluma zingine mkuu acha kuharibu taaluma za watu zionekane hazina maana wala uthamani, SIKUBALIANI NA WEWE KATIKA HILI KIDOGO, naona kuna ulazma wa wana taaluma kuwa na chama ili kupinga utapeli wa namna hii
 
Sawa mkuu inaonekana mm ni tapeli.basi endelea kukariri na bei ulizo zoea kutozwa.
 
Ushauri wangu wa bure tafuta kampuni nzuri uingie nao mkataba watakusaidia achana na vya urahisi vitakusumbua

REMEMBER unaweza tengenezewa hiyo ya urahisi ikawa ina spy kazi zako na kutuma feedback kwa wahusika bila ww kujua mwisho wa siku wakahack na ukaibiwa, makampuni yapo mengi sana yanayoaminika yatayoweza kukusaidia vzuri na usijutie kamwe usipende android app kwa urahis wa bei zitakuspy na utaibiwa TAKE CARE

Asante sana kwa ushauri wako, naomba tazama vizuri offer yangu kuhusu hii kazi, nimeweka wazi kabisa post namba moja.

Ni offer ambayo kwa mtu anaejiamini kuwa anaweza itamuingizia pesa nyingi kila siku kuliko ambae atalipwa kwa kazi moja tu.
 
Zainab Tamim

Kuna hawa watu waliwahi nisaidia kazi za IT ofisini kwangu wanaitwa nordtech solution wapo mwanza niliwahi fanya nao kazi wako vizuri wasiliana nao wanaweza kukusaidia kwa swala lako namba yao 0788597094.
 
kuna hawa watu waliwahi nisaidia kazi za IT ofisini kwangu wanaitwa nordtech solution wapo mwanza ni wazuri sana niliwahifanya nao kazi wako vizuri wasiliana nao wanaweza kukusaidia kwa swala lako namba yao 0788597094

Ntawatafuta.

Asante sana.
Zainab
 
Asante sana kwa ushauri wako, naomba tazama vizuri offer yangu kuhusu hii kazi, nimeweka wazi kabisa post namba moja.

Ni offer ambayo kwa mtu anaejiamini kuwa anaweza itamuingizia pesa nyingi kila siku kuliko ambae atalipwa kwa kazi moja tu.

Mkuu usipende kuhisi vitu ambavyo hauna uhakika navyo nime nimefanya kazi na Fastjet,Zantel sijasikia malala miko bt ww mtu mmoja unakuwa na mashaka.sasa ww na kamati ya ukurugenzi Wapi nani awe na mashaka zaid
 
Ndugu yangu, ni wapi nimefanya wasiwasi? mimi offer yangu ipo wazi kabisa, ukiona inakufaa ingia kazini, naomba nisome vizuri post namba moja ili unielewe.

Na huyo kijana mwingine nae kama anaweza haya, fursa hiyo.

Kila mmoja afanye solution yake kama hamjanielewa vizuri nilivyojieleza kwenye post namba moja mnaweza niuliza.
 
Mkuu usipende kuhisi vitu ambavyo hauna uhakika navyo nime nimefanya kazi na Fastjet,Zantel sijasikia malala miko bt ww mtu mmoja unakuwa na mashaka.sasa ww na kamati ya ukurugenzi Wapi nani awe na mashaka zaid

Nahizi ni moja ya kazi nilizo zifanya zikiwa kwenye process kuwekwa kwenye mtandao zitumike na watu
 
Attachments

  • 1424016075336.jpg
    1424016075336.jpg
    33.1 KB · Views: 57
  • 1424016093645.jpg
    1424016093645.jpg
    36 KB · Views: 53
  • 1424016119683.jpg
    1424016119683.jpg
    58.4 KB · Views: 52

Similar Discussions

Back
Top Bottom