Kiwanja: Nusu Ekari Kongowe ya Kibaha

Kiwanja: Nusu Ekari Kongowe ya Kibaha

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2007
Posts
6,222
Reaction score
4,184
Kiwanja Kizuri Nusu Ekari 35 x 35, kinauzwa eneo la Mwambisi, Kongowe Kibaha. Bei Mil. 6,500,000/-. Kwa maulizo na maelezo zaidi piga 0654 340606.
 
eka ni 70x70
nusu ni 35x70
sasa unaposema nusu eka ,35x35
unakua unakosea sema hii ni robo
 
...You are damn right! Ukiwa tayari, tutaenda kwa hesabu hiyo ya nusu 35 x 70. Karibu...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom