Nyumba inahitajika mbeya

Nyumba inahitajika mbeya

SUBE2021

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
348
Reaction score
103
Nyumba yenye chumba kimoja na Sebure iwe ni self contained, Maeneo yanayofikika kiurahisi isiwe uswahilini. Mwenye kujua anitumie private mesej au anipe namba. iwe karibu na Mjini maana ofisini kwangu ni NIC
 
Mbeya yote ni uswahilini. Labda sema isiwe katka maeneo yanayokaliwa na wanyakyusa wengi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom