Viwanja vinauzwa mbezi louis(mbezi ya kimara)

bintshah

Member
Jul 22, 2015
5
0
Vina ukubwa wa square meter 440 kila kimoja, vinapakana. Vipo karibu na barabara kuu ambayo inaunganisha mbezi beach na mbezi kimara kupitia goba. Umbali ni dakika 5 kwa kutumia gari. Umeme upo na maji yapo. Bei milioni 8 taslimu kwa kila kimoja. Mawasiliano 0713484896
 
mkuu ina maana square meter moja ni 18,181 duh hapa hatupo arusha wala moshi mkuu nakupa milioni tatu na nusu niko serious nitafute kwa PM
 
Mob mil 3 utasubiri kwa nyakati hizi. Nenda kisemvule utapata kwa bei hiyo

mkuu nyie ndo mnakuza bei kwa tama zenu.Niliumia sana nilipokuwa natafuta kiwanja dalali akaniambia ni milioni 9 tukashushana hadi 7.5 sasa wakati naenda kwa bosi kulipa 25*25 Tegeta A. mwenye kiwanja akasema mimi nauza milioni 5. niliumia sana ndo maana mara nyingi itanichukua mda kuwaamini mkuu.
 
Mob hilo eneo ni langu mm. Mimi sio dalali. Ni sehemu yangu na ndio mana nikaitangaza hapa kwakuwa sitaki kupitia kwa dalali. Fanya survey pande hizo kama utapata kwa bei hiyo. Labda maeneo ya mabondeni. Kiwanja tambarare na kipo karibu na barabara, maji yapo, na kipo barabarani kwenye njia za ndani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom