Nyumba mbili zinauzwa Toangoma

Nyumba mbili zinauzwa Toangoma

ChiefSkin

Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
83
Reaction score
25
nyumba mbili tofauti zinauzwa Toangoma
1) moja ina chumba kimoja cha kawaida, cha pili master room, sebule, jiko na vyoo viwili vya public kimoja cha chandi na cha pili cha nje ya nyumba. ina tiles nyumba nzima na imeezekwa. imeshafungwa mbao bado gypsum tu kuweka. bei yake ni milioni 13 ila maelewano yapo. kwa maelezo zaidi tuwasiliane

2) ya pili inauzwa ina vyumba vitatu, sebule, ambapo viwili vimekamilika ila viwili bado havijakamilika ila vipo usawa juu ya madirisha bado kozi mbili tu vikamilike. ukubwa wa eneo ni futi 54 kwa 50. choo kipo cha ndani. bei ni milioni 9 ila maelewano yapo.

kwa mawasiliano zaidi niandikie sms au nipigie kwa namba yangu +255755040485
 
Jitahidi kuweka picha mkuu, si unajua biashara matangazo, Good luck
 
Samahani, toangoma iko mkoa gani au upande gani jijini
 
Majengo sacon Arusha .....four bedrooms kimoja ni master.30m...mwisho kabisa 28m
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom