GARETHBALE
Member
- Dec 22, 2013
- 76
- 334
Nawasalim wote,
Nauza gari, ni PRADO T108 BEU,Nahitaji milioni 30 tu, pia mazungumzo yapo. Gari ipo katika hali nzuri na inatembea na haina tatizo lolote.
Nimepata chuo UK, hela niliyonayo haitoshi, nimeamua niuze gari hii ili nipate hela ya kuniwezesha kwenda kusoma UK, chuo kinaanza tar 17/9/2015. Natakiwa kuripoti kabla ya tar 10/9.
Hii gari kwa mda mrefu anaitumia dada yangu, kwa hiyo baada ya kupata nafasi Uk tukakubaliana tuuze hii gari ili nifanikishe kwenda chuo kwa wakati.
Naomba mnisaidie wadau ktk hili, Mungu awabariki sana
Tuwasiliane kwa namba 0759272289 au 0652713522