Harrier inahitajika

Harrier inahitajika

Nina harrier kama 5

2001 - 4 cylinder
2004 - 4 cylinder

Harrier NNE ni za 2001 na zote hazijasajiliwa

Kuna harrier 2004 number D
 
muwe mnaweka na bei hapa ili na wengine tujipime
 
Toyota Harier ya mwaka 1999
cylinder sita vvt_I 1mz engine yenye 2990cc
Automatic transmission
inatumia petrol,Airbag2 ina insurance ipo katika hali nzuri imesajiliwa kwa namba D
imetembea km 159000 ina miezi minne tu tangu ilipotoka japan
bei yake ni tzsh 16,500,000 mil
call 0789210992
 

Attachments

  • 1437448664396.jpg
    1437448664396.jpg
    63.3 KB · Views: 175
  • 1437448717775.jpg
    1437448717775.jpg
    26.2 KB · Views: 166
Wakuu chombo kimepatikana kwa mwana jf m1: shukrani sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom