Way Logistics ltd
About Us
Our Services
Contact Us +255717017776 or +255657579017
We are licensed by the Tanzania Customs Service providing Clearing and Forwarding services in Tanzania. We can...
Casky company tunahusika na kufunga CCTV Cameras, madishi, biometric doors & sensors, eletric fences, car shade port na alminium services(windows, doors etc). Bei zetu ni nafuu sana na huduma zetu...
Ninauza kiwanja dodoma kisasa b cennter comercial/residential sq m2 840.kina hati.ramani na vibali vy ujenz na nimejenga msingi wa mawe tupu.maduka manne mbele na kila duka na chunba chake cha...
Nina milango ya nyumba ambayo kwa ajili ya nyumba au office, inaitwa fire door, nimenunua hapa UK, ipo zanzibar, idadi yake 8
Kama upo interesting, bei 250,000 kila mmoja, ni mp niwachie number...
Gari Limetumika miezi 6 tu tokea liliponunuliwa. Limelipiwa kila kitu ikiwemo motor vehicle lisence pamoja na insurance. Bei ya hgari hili ni TZS 18,000,000/= Kwa atakaye hitaji gari hili...
Msaada ndugu zangu,
Gari yangu nilikua siitumii muda sasa na mazingira nayofanyia kazi ni kambi so waweza tumia hata miaka kumi bila kulipia maadam usifike town ukakumbana na trafic,road licence...
Habari wana jamvi wenzangu,
Nilikua naomba kujua gharama ya vifaa/kifaa cha kuhisi moshi katika nyumba na kutoa taarifa katika king'ora na wapi naweza kuvipata kwa hapa Mwanza.
Asante
Nahitaji gari ya aina ya Noah ambayo ni used hapa tz. Iwe na sifa zifuatazo
1. Iwe katka hali nzuri ndani ya gari, kwenye injin na gear box. na nje iwe na muonekano mzuri.
2. Iwe haijwahi kupata...
Tunahitaji kiwanja maeneo ya kuanzia Ngerengere kuja Dar es salaam, Kiwe mkabala na Reli (Barabara ya Treni), Kiwanja kiwe na hati au offer ya kiwanja, Kiwe na ukubwa wa kuanzia Mita 300.
Please...
Heshima kwenu wakuu,naomba anayefahamu bei ya mizani inayotumika madukani/sokoni kwa ajili ya kupimia unga,mchele,sukari n.k anifahamishe inauzwaje na hapa Dar inapatikana wapi?
written off Nissan x-trail sport for sale, model No. JN1TANT, 2002 , manual transmission ,not damaged from wind screen to rear door, location Kawe Round about DSM. price Negotiable. interested? PM
Eneo linauzwa Bagamoyo maeneo ya ukuni karibu na chuo cha SLADS lina ukubwa wa heka moja lipo karibu na umeme na mita 400 toka baraba ya Bagamoyo ni zuri kwa kujenga hostel, lodge au makazi...
Nimefikia hotel iliyopo Kariakoo, am bored natafuta kiwanja cha kuvinjali bar/club iliyochanganya yenye misosi na mabebs. Najua leo jtatu, hivyo vitu ni nadra bt I want to have fun for some few...
nyumba na kiwanja hicho haviko mbali na barabara kuu ya kwenda itobo! eneo lipo sehemu nzuri na ya kuridhisha kabisa
bei ni 22 milion
kwa mawasiliano zaidi nicheki whatsapp 0764014285...
Nauza pikipiki mbili bei nzuri, moja 900,000 nyingine 700,000 tu, maongezi halo zipo kwenye hali nzuri, maongezi yapo. Nimeshindwa kuweka picha hapa kama upo interested.
Nichek kwa 0713415537...